Je, wageni wako ni watu muhimu?

Tuma mialiko inayopendeza kwa urahisi na faragha.

TukioSmart hukusaidia kuandaa kadi, kutuma mialiko, kupokea RSVP, na kuhakiki wageni kwa QR bila kuchosha timu yako.

2k+
Mialiko
98%
Imefika
QR
Check-in
Sampuli maridadi
Wedding Invite
Save the date
M & Z
VIP wageni 120
Familia 80
Marafiki 240

Kwanini uchague TukioSmart?

Kila kitu cha mwaliko, mahali pamoja

Mfumo uliotengenezwa kwa waandaaji wa hafla wanaohitaji mwaliko mzuri, taarifa sahihi, na mlango unaokwenda haraka.

Faragha ya wageni

Linda namba, majina, na majibu ya wageni wako ndani ya mfumo mmoja salama.

Kadi zinazosarifika

Tengeneza mwaliko unaofanana na hafla yako bila kuanza upya kila mara.

Mialiko ya WhatsApp

Tuma mialiko kwa makundi, fuatilia iliyofika, na punguza kazi ya kurudia.

Uhakiki wa QR

Hakiki mgeni mlangoni kwa msimbo wa QR na rekodi mahudhurio kwa haraka.

Timu ya check-in

Wape wasaidizi ruhusa za kuhakiki wageni bila kuwapa mfumo wote.

Gharama wazi

Ona matumizi ya ujumbe, bajeti, na njia zinazokusaidia kuokoa gharama.

Jinsi inavyofanya kazi

Kutoka kadi mpaka check-in bila tabu

Panga hafla, tuma ujumbe, pokea majibu, kisha hakiki wageni wako kwa utaratibu mmoja ulionyooka.

01

Andaa

Ingiza taarifa za hafla, chagua muonekano wa kadi, na panga makundi ya wageni.

02

Alika

Tuma mwaliko kwa WhatsApp, SMS, au barua pepe na fuatilia majibu ya RSVP.

03

Hakiki

Tumia QR check-in siku ya tukio, hata mtandao ukisumbua eneo la hafla.

Bei zetu

Chagua kifurushi kinacholingana na hafla yako

Faragha

Kwa hafla zenye wageni wengi na msaada wa karibu.

Punguzo
TZS 500/ mwaliko
Kwa kila mwaliko

Sampuli za kadi

Muonekano wa kuvutia kwa kila tukio

Ona templates
Harusi
Amina & Baraka
Jumamosi, 18 Julai
QR tayari kwa check-in
Corporate
Annual Gala
Serena Hotel
QR tayari kwa check-in
Birthday
Zawadi turns 30
RSVP before Friday
QR tayari kwa check-in

Waweza taka kujua

Maswali ya kawaida

Majibu mafupi kwa mambo ambayo waandaaji wa hafla huuliza kabla ya kutumia huduma.

TukioSmart ni nini?

Ni mfumo wa kutengeneza, kutuma, na kudhibiti mialiko ya kidijitali kwa hafla.

Naweza kurekebisha mwaliko?

Ndio, unaweza kusasisha taarifa za hafla na orodha ya wageni kabla ya tukio.

Wageni wasio na simu janja je?

Unaweza kutumia ujumbe mfupi na namba maalum ya uhakiki badala ya QR.